FAHAMU: Alichoandika Diamond kuhusiana nyimbo ya A.Y na Sean Kingston


Ni hapo jana tu ambako AY aliachia ngoma yake ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu akimshirikisha Sean Kingston pamoja na Ms. Trinti wote kutoka Kingston Jamaica. Na katika wiki takribani mbili zijazo video ya "Touch Me" inatarajiwa kutoka ambayo ilifanyika marekani, AY alishoot video mbili akiwa nchini marekani moja wapo ikiwa ni ya "Touch Me". Katika kuipa promo nyimbo hii Diamond Platnumz kupitia akaunti yake ya instagram aliandika hivi

LISTEN . DOWNLOAD . SHARE

No comments