VIDEO PREMIER: Diamond Platinumz - Ntampata wapi



Ni muda mrefu kidogo umepita tangu Mr. President wa WCB bw. Diamond Platinumz achie video. Video ya mwisho ambayo audio yake haikufanya vizuri sana kwenye radio stations ilkuwa ni BAM BAM aliyomshirikisha Iyanya toka Nigeria. Leo amechia video nyingine mpya ambayo ameifanya na Godfather toka S.A  ambayo inatarajiwa kufanya vizuri zaidi, hii ni solo project nyingine toka kwa Diamond ambayo inaonesha mafanikio makubwa mbeleni. Kaza Buti kaka TWENZETUUU!

No comments