Niseme Remix (Gospel Version)

Kadri siku zinavyozidi kwenda watu wanazidi kuwa wabunifu. Kwa hili "WAMETISHA" kundi moja la waimba kwaya huko mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro wameingia studio na kurekodi upya mwimbo wa NISEME wa Yamoto Band lakini hii ni Gospel. Ni namna nyingine kabisa ya kufikisha Neno la mungu kwa jamii haswa kwa vijana, ukiachilia mbali suala la hati miliki ya nyimbo nchini hapa (Tanzania) wanafaa kupongezwa.  
Listen n' download

No comments